Amazon kutoa smartphone mpya kuwa mshindani wa Iphone,Nexus na Samsung.
Mwananchi Kweli
2:40 AM
0
Kampuni ya amazon inategemea kuzindua Simu zake za Smartphone ambazo zitatumia jina la Amazon na pia inasemekana kuwa na muundo wa Iphone5. Msemaji wa mtandao wa Amazon amesema kuwa wanategemea kuizidua september na itakuwa inauzwa kupitia mtandao huo wa Amazone ''Simu itakuwa na muonekano wa Iphone pia kama Google Nexus'' Alisema BGR.
Inasemekana itakuwa na kioo chenye ukubwa wa 4.7-inch ambacho kitakuwa na uwezo wa 720p HD Pia ram ni 2GB Processors quad-core Qualcomm Snapdragon.

No comments