PICHA:Hili ndilo Daraja la Bunju/Bagamoyo lililo katika
Mwananchi Kweli
12:10 AM
0

Picha ikionyesha daraja la Bunju-Bagamoyo lililokatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Hii itasababisha Mawasiliano kwa njia ya barabara kati ya Dar na Bagamoyo kuwa madogo.

Picha na (Hamis Hamza n4t)
No comments