Basi la Smart likitoka Dar kwenda Mombasa lapata ajali na kuua wawili!
Mwananchi Kweli
9:13 AM
0

Bus la Smart limepata ajali na kupinduka likiwa linatokea Dar kuelekea mombasa mpaka sasa idadi ya waliokufa ni wawili na wengine 10 Kujeruhiwa. Ajali hiyo imetokea katika Eneo la Mkata na Lugoba - Barabara Kuu ya Chalinze-Segera asubuhi ya leo.
No comments