Select Menu

News

News

Music

Theme images by konradlew. Powered by Blogger.

Movie

Gossip

Life Style

Sports

Health

Documentary

Video

» » » » Video&Picha: Hii ndio gari ya kwanza yenye uwezo wa kujiosha yenyewe.


Mwananchi Kweli 7:39 AM 0



Kampuni kubwa ya kutengeneza magari ya Nisan imebuni gari ambalo linaweza kujisafisha lenyewe pindi linapochafuka. Teknolojia hiyo ime thibitishwa na wahandisi wa magari wa uingereza nakusibitisha ufanyaji kazi wa gari hilo. Hii itasaidia mtumiaji pindi anapomaliza kulitumia hana haja ya kulipeleka au kuliosha badalayake kuna batan anayoweza kuitumia kulisafishia gari lake. Hili na gari la kwanza ambalo linaweza kujisafisha lenyewe kutokea. Video iko hapo chini.



Nissan says it is the first to apply the trade-marked technology called Ultra-Ever Dry on automotive bodywork



«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply