Select Menu

News

News

Music

Theme images by konradlew. Powered by Blogger.

Movie

Gossip

Life Style

Sports

Health

Documentary

Video

» » Sio ulaya tu hata bongo tunapinga ubaguzi wa rangi


Mwananchi Kweli 11:01 AM 0

Moja kati ya vitu vinavyo Pamba vichwa vya habari katika mitandao na hata vyombo vya habari ni jinsi watu mashuhuri wanavyo mpa suport mchezaji wa barcelona Dany Alves aliyetupiwa ndizi uwanjani wakati wamechi kati ya Vila real na Barcelona Wameonyesha kupinga kitendo cha kibaguzi kilicho fanyika kwa kupost picha wakiwa wanakula ndizi. Pichani Zito kabwe na watanzania wengine wakimuunga beki huyo kisiki wa Barcelona.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply