Sikiliza Na kupakua Hapa wimbo mpya Wa Pr.Jay Ft. Diamond-Kipi sijakisikia
Mwananchi Kweli
12:18 AM
0
Baada Ya ukimya Mrefu Mkali wa Miondoko ya Hiphop Ambaye kwa sasa Amepata mafanikio makubwa kupitia Muziki wa kizazi kipya ikiwa ni pamoja na kumiliki Studio yake mwenyewe inayojulikana kwa jina la Mwanalizombe studio Pr. Jana Ameachia Wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kipi sijakisikia Akiwa amemshirikisha Diamond.
Click Play Hapo chini kusikiliza.

No comments