Select Menu

News

News

Music

Theme images by konradlew. Powered by Blogger.

Movie

Gossip

Life Style

Sports

Health

Documentary

Video

» » Samsung yajibu mapigo kwa Google inategemea kutoa Galaxy Glass mwaka huu


Mwananchi Kweli 6:15 AM 0


Kampuni ya Samsung inategemea kuzindua miwani yake ya GalaxyGlas september mwaka huu. Galaxy Glass itakuwa ikifanya kazi sawa na smart phone za sumsang ikiwa ni pamoja na kupokea taarifa akiwa ameivaa kutoka kwenye sim kama msg,simu au barua pepe. 


Samsung Galaxy Glass

Msemaji wa Samsung alikaririrwa akisema ''mahitaji ya Smart(Galaxy)Glas ni makubwa kutokana na maoni ya wateja wetu'' Galaxy Glasy itakuwa ndo mshindani wa kwanza wa Google Glasy ambayo iko sokoni mpaka sasa.


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply