Select Menu

News

News

Music

Theme images by konradlew. Powered by Blogger.

Movie

Gossip

Life Style

Sports

Health

Documentary

Video

» » » Picha za Ryan Giggs akiwa kama kocha zitazame hapa


Mwananchi Kweli 4:27 AM 0



Umekuwa mwanzo mzuri katika usimamizi wa klabu ya Man Utd chini ya Kocha Mchezaji Ryan Giggs baada ya kupata matokeo mazuri dhidi ya Nowrich City. Man imeshinda kwa bao 4-0 huku mabao ya Man yakifungwa na Wayne Rooney na Juan Mata .
Giggs mwenye muda mrefu uwanjani kama mchezaji wa Man Untd alipewa kazi ya kuwa Kocha mkuu baada ya kocha David Moyes kufukuzwa kazi jumanne ya wiki hii.
123456791011




«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply