Odama ajifungua mtoto wa kiume, aandika ujumbe kwa mashabiki wake
Mwananchi Kweli
12:37 AM
0
Muigizaji wa kike, Odama ambaye kwa muda mrefu alikuwa kimya bila kuweka wazi nini kilikuwa kinaendelea kwa upande wake, amewataarifu mashabiki wake kuwa amejifungua mtoto wa kiume.
“Ni kweli nilikua mja mzito na mpaka sasa tayari nimejifungua mtoto wa kiume, namshukuru sana Mungu na mashabiki zangu wote kwa ushirikiano wenu tangu mwanzo mpaka sasa…nawapenda sana.”Ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.

No comments