Select Menu

News

News

Music

Theme images by konradlew. Powered by Blogger.

Movie

Gossip

Life Style

Sports

Health

Documentary

Video

» » Mambo nusiyo yajua yanayohusiana na tarehe kama ya leo


Mwananchi Kweli 3:51 AM 0

Haya ni matukio makubwa yaliyofanyika Tarehe kama ya leo...

1- Ndoa ya mwanamfalme Prince William na Kate Middleton
Prince William & Catherine - prince-william-and-kate-middleton Screencap
Siku na tarehe kama ya leo ndio tarehe ya ndoa ya Pricnce william mtoto wa mfalme wa uingereza na Kate.

2-Kifo cha Director mkubwa wa filam Alfred Hitchcock
alizaliwa 13th August, 1899 huko Leytonstone, Essex, England
Alifariki 29th April, 1980 (aged 80)
Filamu alizoongoza ni pamoja na he Pleasure Garden,Case Of Jonathan Drew nanyingine nyingi.

Na Rajab Makenda.


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply