Select Menu

News

News

Music

Theme images by konradlew. Powered by Blogger.

Movie

Gossip

Life Style

Sports

Health

Documentary

Video

» » » MAJAMBAZI WAVAMIA GARI NA KUMWAGA DAMU KINONDONI


Mwananchi Kweli 8:09 AM 0



Habari zinazoambatana na picha hii zinasema ni ujambazi uliofanywa kwa kutumia risasi kutoka kwenye gari moja na kisha kupofa kiasi cha fedha ambacho bado hakijajulikana, kutoka kwenye gari jingine linaloelezwa kuwa lilikuwa na raia wa Kigeni, katika eneo la Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam, jioni ya leo.

wavuti






«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply