Select Menu

News

News

Music

Theme images by konradlew. Powered by Blogger.

Movie

Gossip

Life Style

Sports

Health

Documentary

Video

» » » Kuwa wa kwanza kuusikiliza na ku download wimbo mpya wa Steve Rnb She Dance.


Mwananchi Kweli 5:44 AM 0


Mkali toka Tanzania ambaye yupo kwenye list ya Wanamuziki wanaofanya vizuri kwenye muziki wa Rnb,Watanzania wengi tulimtambua Steve Rnb baada ya kushirikishwa na Mr. Blue kwenye wimbo wa Tabasamu,huu ni wimbo wake mwingine mpya unaitwa She dance,usikilize halafu unaweza andika ulichokisikia juu ya wimbo huu ili baadae nae akipita asome.



«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply