Select Menu

News

News

Music

Theme images by konradlew. Powered by Blogger.

Movie

Gossip

Life Style

Sports

Health

Documentary

Video

» » » Furaha ya shabiki mpaka mwilini… kisa Davis Moyes kafukuzwa.


Mwananchi Kweli 6:39 AM 0



Mwezi February kuna picha ya shabiki mmoja wa soka anayeishabikia Manchester United ilisambaa sana ikimuonyesha kajichora tatoo ya “MoyesOut” kwamba hataki kabisa David Moyes aendelee kuwa meneja wa timu anayoishabikia.
David-Moyes-tattoo
Sasa baada ya David Moyes kufukuzwa shabiki huyu ameamua kuiongezea maandishi tatoo hiyo kuonyesha alivyofurahishwa na kufukuzwa kwake ambapo maneno hayo yanamaanisha ‘kazi imekamilika’

article-2589392-1C90F03700000578-537_634x426






«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply