BREAKING NEWS!!!!!! Muhidin Maalim Gurumo Afariki Dunia.
Mwananchi Kweli
9:50 AM
0

Mkongwe wa Muziki wa Dansi, Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma kabla ya kustaafu mziki) amefariki dunia akiwa Muhimbili alipokuwa amelazwa!
News4timeblog inawapa pole Familia ya Ngurumo ''Bwana ametoa Na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe''
No comments