Select Menu

News

News

Music

Theme images by konradlew. Powered by Blogger.

Movie

Gossip

Life Style

Sports

Health

Documentary

Video

» » ARSENAL YATINGA FAINALI FA MATOKEO YAKO HAPA


Mwananchi Kweli 12:21 PM 0



Arsenal‬ yatinga fainali ya Kombe la FA kwa kuichapa Wigan‬ 4-2 kwa mikwaju ya penati. Dakika 90 za mwanzo ziliisha kwa magoli 1-1 ambapo wigan ndio walitangulia kufunga kwa penalt na kipindi cha pili Arsenal walisawazisha. Ziliongezwa dakika 30 ambapo hakuna timu iliyopata goli hadi zina isha.



«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply