Select Menu

News

News

Music

Theme images by konradlew. Powered by Blogger.

Movie

Gossip

Life Style

Sports

Health

Documentary

Video

» » » 50 Cent aiponda albam nzima ya Kanye West 'Yeezus', asema kwake sio hip hop ni kama muziki wa dansi


Mwananchi Kweli 11:48 PM 0



Kiongozi wa G-Unit, 50 Cent ameweka wazi kuwa haipendi kabisa albam ya Kanye West ‘Yeezus’ na kwamba kwake bado anasikiliza albam ya mwaka 2004 ya rapper huyo ‘The College Dropout’.
Rapper huyo alitoa mtazamo wake kuhusu albam hiyo wakati akifanya mahojiano na MTV News ya U.K.
“(Kanye West) ni kipaji katika utamaduni wetu na ni moja kati ya nguvu zinazousogeza, lakini kuna vitu vingine ni vya ajabu kwangu.” Alisema 50 Cent.
“Record hiyo ya mwisho, niwe mkweli, siichezi/siisikilizi sasa hivi. Bado nacheza ‘Flashing Lights’, ‘Gold Digger’ na mradi nzima ya ‘The College Dropout’. Lakini baadhi ya vitu vipya ni vya kiubunifu sana na nahisi kama anajaribu kutengeneza sound mpya.”
“It sounds scrambled... radio is going to play dance music, EDM - you got a lot of stuff happening in music culture that's influencing a lot of R&B music to that tempo. It doesn't feel like Hip-Hop to me, it feels like a fusion of something else, like a weird combination of dance music sounds and stuff.”
50 alieleza kuwa Kanye West ni msanii, na kwamba sio lazima ukubaliane ka kila kitu anachofanya msanii na kujitolea mfano yeye kuwa hana msanii anaempenda zaidi lakini kuna nyakati anazozipenda zaidi kutoka kwa wasanii.
50 Cent anajiandaa kuachia albam yake mpya ‘Animal Ambition’ ambayo inatarajiwa kuingia sokoni June 3.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply